permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 10,026
- 11,220
Kuna kitu wanaita lifting veil, ikiimanisha watu wakijificha nyuma ya kampuni kutenda jinai bado Sheria huwafuata hukohuko.Hapa inakuwa hudaiwi wewe.....inadaiwa kampuni....coz kisheria kampuni ni kama mtu (legal person). Endapo biashara itaenda mrama, kampuni inatakiwa itangaze kisheria kuwa imefilisika. Baada ya hapo, liquidation inaanza ili kuwalipa wadai wake wote kwa kiasi cha fedha kilichopatikana kwenye liquidation. Inawezekana baadhi ya wadai ikashindikana kuwalipa kama pesa iliyopatikana ni ndogo. Ila serikali na taasisi zake, hasa za Kodi(TRA and Co.) lazima walipwe kwanza ndio wengine wafuatie.