Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,277
- 9,912
Manji alipiga hela sana, kuna miradi ilikuwa unafadhiliwa na Japan kwa wizara ya kilimo na wizara ya fedha Food Aid Counter apart kuna mikopo ilikuwa inatolewa kigezo ili kupata mkopo ilikuwa upaswa kulipa cash cover mfano unataka bilioni 1 basi ilipaswa kulipa cash cover 50mil Manji alichukuwa anakifanya anaongea na watu wa wizara ya fedha na kilimo kwa kutumia watu wanaomba mkopo yeye analipa ile cash cover anachukuwa mzigo kupitia wewe, mzigo ukitoka unapoozwa yeye ana chukua dehemu kubwa.Aisee! Watu walikula nchi. Kampuni inabadilishwa kajina kidogo inadhamin nyingine. Yaani utakuta hayo makampuni yote Manji ana hisa kwa hiyo alikuwa anakopa na kujidhamin mwenyewe.
Hapa naona Yanga wakifungwa mechi ijayo maana stress za Manji zinakuwaga za timu
So ana case kama hizo 30+ lakini wanashindwa kumkamata maana jina linasomeka mtu mwingine. So watu wengi wametafutwa na wanasema wao hawakuchukua ila Manji ndiyo alichukuwa mmoja wapo ni mzee Abood.