hii dunia jamani binadamu wengine!! cjui tuwaweke ktk kundi gani! mana hata tukiwaweka kwenye wanyama tutakuwa tunawakosea wanyama coz hata hao wanyama hawawezi kufanya mapenzi na mnyama asiyefanana naye. cjawahi ckia tembo kafanya mapenzi cjui ngono na twiga!! lakini binadamu tuliopewa akili na utashi na mwenyezi mungu, tunafanya vitu ambavyo mnyama hawezi kuvifanya. dah!