Yustus: Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Bado kuna vyama vya siasa vinasema vina imani na tume huru ya uchaguzi taifa INEC. ameskika Yustus wa TLP akisema ''Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi, tuko nayo na tunaendelea nayo”

Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema anaridhishwa na uwepo wa mazingira rafiki kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, ambapo ameipongeza Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuendelea kusimamia mazingira ya uchaguzi na sheria zilizowekwa kabla ya kuelekea uchaguzi mkuu.

Soma pia: Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi

Huyu dingi anazeeka vibaya na TLP yake
 
View attachment 3447944
Babu anauhakika?
 
Mwehu siyo lazima avue nguo. Wakati kila mtu analalamikia Tume ya Uchaguzi, linatokea karakacha jingine linaboyongoka miharisho ti.
 
Bado kuna vyama vya siasa vinasema vina imani na tume huru ya uchaguzi taifa INEC. ameskika Yustus wa TLP akisema ''Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi, tuko nayo na tunaendelea nayo”

Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema anaridhishwa na uwepo wa mazingira rafiki kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, ambapo ameipongeza Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuendelea kusimamia mazingira ya uchaguzi na sheria zilizowekwa kabla ya kuelekea uchaguzi mkuu.

Soma pia: Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi

View attachment 3447944
Huyo mzee mnamwonea tu
 
Mara paaa mzee Anakuwa raisi
 
Vyama shikizi vya CCM
 
Mda sio mrefu watatoka na tamko lao la pamoja la kuwa na imani na.tumenya taifa ya uchaguzi baada ya akaunti zao kuwekewa bakshishi
 
Back
Top Bottom