Yupo wapi?

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,636
3,620
18014c37aaf1c6a5af8a426e31f43a43.jpg
 
Huyo jamaa naona atakuwa mze kwa sasa.....hii picha ya black and white inaonekana ilichukuliwa miaka ya 60 ama mwanzoni mwa miaka ya 70.
Unapoleta jambo humu ndani usifikiri kila mtu anafahamu ulichokileta.

Ili wengi tukuelewe jaribu kuweka maelezo ya kujitosheleza.
Mbona kama Membe huyu

Nani huyo
Ndugu Bernard Kamilius Membe (Waziri wa mambo ya nje mstaafu ) hapo pichani ni muda mfupi kabla ya kujiunga na Usalama wa Taifa (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa (Natinal Security Analyst) akiwa na miaka 25.
 
Kumbeeee, ila kwa sasa yuko alosto baada ya kubwagwa urais. Nasikia anaokota korosho kule kwao na kunywa uraka.
 
Ndugu Bernard Kamilius Membe (Waziri wa mambo ya nje mstaafu ) hapo pichani ni muda mfupi kabla ya kujiunga na Usalama wa Taifa (TISS) kama mchambuzi wa maswala ya usalama wa taifa (Natinal Security Analyst) akiwa na miaka 25.
Hakika wewe ni mtu wa 'system' mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom