mkuuuuuu asante sana kwa kumbukizi za hawa watu waliokuwa wanajifanya ni miamba hapa tanzania kwamba lolote litafanyika kwa vile wao tu ndo wanaweza kufanya maamuzi,.
wasira alikuwa anafurahisha sana basi tu mambo mengine ni kutia aibu taifa kabisa kuweka majitu yasiyo na utu kabisa
Nimecheka sana eti mr Hand,!Mmoja sasa amekuwa ni Strategist wa CCM na mwingine amejikita zaidi Kuliendeleza Jimbo lake ili liwe na Maendeleo zaidi lile la Adui yake na Mpinzani wake Mbunge wa Butiama Mheshimiwa Mr. Hand aliyeko huko nchini Marekani sasa.
So what?Wana jamvi nimejaribu kufuatilia wanasiasa wetu walio tamba sana kwenye awamu ya bwana Kikwete na kati yao ni meona tuwajadili hawa miamba.
Wasira alijitapa kuiangamiza cdm kabla ya mwaka 2014 tena kwa kiapo lkn leo hii cdm bado ipo na yeye mzee Tyson hasikiki tena. Pia mzee Muhongo bingwa wa dunia wa miamba aliye kuwa anajivunia kwa kiburi sana juu ya elimu yake hiyo lkn sasa kimyaaaaa. View attachment 1369187View attachment 1369188
In God we Trust
Lakini ulivyoandika maana yake una lengo au funzo. kuacha swali bila jibu uniaacha njia panda, ilitakiwa uje na hitimisho au funzo kabisa.Ndiyo tatizo letu waswahili yaani nimeuliza alafu nawewe unaniuliza badala ya kutoa jibu!
In God we Trust
Swaga za mwamba zilikuwa ni comedy kabisaPamoja sana mkuu lazima tujue wako wapi hawa miamba wa siasa za kibongo
In God we Trust
Hiyo inaitwa wasira style . Kifungo juu chiniSi unaona na hiyo suti yake wakati anajiandaa kwenda kutangaza nia ya kugombea uprezidaa icheki vizuri
In God we Trust
Enzi ya Jakaya ilikuwa na vituko vyake..Mulugo waziri wa Elimu asiyejua Jiografia.Mulugo namkumbuka, hako kamama kenye mdomo ni kapi mkuu tafadhali
In God we Trust