Hahahahaaa... nimejaa tooop humu jukwaani Sema tu mishemishe za Pasaka bhana... haya nambie Leo nakukuta wapi nije tule vyuku?
Hahaaa nilishtuka nikadhani umeenda kifungoni.
njoo pale pale pa cku ile twitta pub au hukupapenda mlete na shostito Dinazarde
Pale hapafai babe..halafu leo nitakuja na kina Heaven on Earth qn of sheba na wale niliokuja nao juzi..si unajua tena Easter... plzzz say yes dear...
Dear kifungoni sio rahisi maana mi ni matusiproof...
Pale hapafai babe..halafu leo nitakuja na kina Heaven on Earth qn of sheba na wale niliokuja nao juzi..si unajua tena Easter... plzzz say yes dear...
mmmh wale wa juzi hapana aisee haswa kale kadada kembamba cjui ndo Karuccee maana anakunywa bacard mzinga mzima peke yake na halewi ila ile kampani yangu inasema ukija njoo na wawili ili tuwe sawa na wanywe vinywaji walivyozoea
Hahaaa kweli itakuwa impossible kwako kwenda jela
Dear Shark bahili anataka mzinga mmoja tunywe watu wooote sita..
Aaah Shida yote ya nini twendeni zetu tukajipue wenyewe
Hahahaa hilo ndio neno sasa
No. Mumemchoka mapema kisa allowance za Easter.mmmh wale wa juzi hapana aisee haswa kale kadada kembamba cjui ndo Karuccee maana anakunywa bacard mzinga mzima peke yake na halewi ila ile kampani yangu inasema ukija njoo na wawili ili tuwe sawa na wanywe vinywaji walivyozoea
Cha umbea hujambo?Kwa ubahili huu tucancel tu kwa Leo...tutakuja tukiwa hatuna hela Leo tunazo wacha tujilipue kivyetu
hahahahahq cc Karucee
Wembamba wa nini? Aku mie. No. Mumemchoka mapema kisa allowance za Easter. Cha umbea hujambo?
bila mimi nani angekupa info
happy easter
Na kweli.
Haya sio unisemee kila siku.
Na mie unipe info manake dah OLESAIDIMU na Eiyer wananiumiza kichwa.
Most wanted kudaadeki.
Umeona eeeh!! Nitawanunulia wambea wenzangu wote helmet za matusiproof.