Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,072 Reaction score 134,443 Feb 3, 2025 #1 Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
Disney2 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2025 Posts 435 Reaction score 649 Feb 3, 2025 #2 Alikutwa na metheji ya muamala kutoka kwa chura,
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,385 Reaction score 3,057 Feb 3, 2025 #3 OKW BOBAN SUNZU said: Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi? Click to expand... Alifungiwa na kupigwa faini ya Milion 10 tukamlipia. Tulikubaliana afungiwe kimya kimya
OKW BOBAN SUNZU said: Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi? Click to expand... Alifungiwa na kupigwa faini ya Milion 10 tukamlipia. Tulikubaliana afungiwe kimya kimya
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,228 Reaction score 8,924 Feb 3, 2025 #4 Mitaa ya TMK squad. Yupo vizuri kifedha siku hizi.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,072 Reaction score 134,443 Feb 3, 2025 Thread starter #5 Kobello said: Mitaa ya TMK squad. Yupo vizuri kifedha siku hizi. Click to expand... Hela za Injinia hizo
Kobello said: Mitaa ya TMK squad. Yupo vizuri kifedha siku hizi. Click to expand... Hela za Injinia hizo
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,072 Reaction score 134,443 Feb 3, 2025 Thread starter #6 Minjingu Jingu said: Alifungiwa na kupigwa faini ya Milion 10 tukamlipia. Tulikubaliana afungiwe kimya kimya Click to expand... Active huyu si kafungiwa?
Minjingu Jingu said: Alifungiwa na kupigwa faini ya Milion 10 tukamlipia. Tulikubaliana afungiwe kimya kimya Click to expand... Active huyu si kafungiwa?
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,228 Reaction score 8,924 Feb 3, 2025 #7 OKW BOBAN SUNZU said: Hela za Injinia hizo Click to expand... GSM.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,798 Reaction score 86,568 Feb 3, 2025 #8 Tuliachananae baada yakitumbua kuingia mchanga
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,286 Reaction score 123,764 Feb 3, 2025 #9 Utamuonaje na wakati tangu achezeshe Derby ameanza kutembea akiwa amevaa baibui mtaani?
Holoholo-Baba Kijacho JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 6,976 Reaction score 14,482 Feb 3, 2025 #10 Break-in said: Alikutwa na metheji ya muamala kutoka kwa chura, Click to expand... mjifunge wenyewe mmsingizie refa.
Break-in said: Alikutwa na metheji ya muamala kutoka kwa chura, Click to expand... mjifunge wenyewe mmsingizie refa.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Feb 3, 2025 #11 Yuko wapi Tatu Malogo? Mara ya mwisho alionekana akiwa kavaa jezi ya Makolo na mechi aliyopangiwa kuichezesha akaondolewa kimyakimya.
Yuko wapi Tatu Malogo? Mara ya mwisho alionekana akiwa kavaa jezi ya Makolo na mechi aliyopangiwa kuichezesha akaondolewa kimyakimya.
Disney2 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2025 Posts 435 Reaction score 649 Feb 3, 2025 #12 Nifah said: Yuko wapi Tatu Malogo? Mara ya mwisho alionekana akiwa kavaa jezi ya Makolo na mechi aliyopangiwa kuichezesha akaondolewa kimyakimya. Click to expand... Ujue nakuheshimu sana we bint
Nifah said: Yuko wapi Tatu Malogo? Mara ya mwisho alionekana akiwa kavaa jezi ya Makolo na mechi aliyopangiwa kuichezesha akaondolewa kimyakimya. Click to expand... Ujue nakuheshimu sana we bint
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,305 Feb 3, 2025 #13 Comment za utopolo zinanivunja mbavu... Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau.. Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie
Comment za utopolo zinanivunja mbavu... Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau.. Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,740 Reaction score 22,490 Feb 3, 2025 #14 Kalpana said: Comment za utopolo zinanivunja mbavu... Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau.. Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie Click to expand... Ila mbona goli mlijiweka wenyewe wwaah
Kalpana said: Comment za utopolo zinanivunja mbavu... Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau.. Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie Click to expand... Ila mbona goli mlijiweka wenyewe wwaah
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,385 Reaction score 3,057 Feb 3, 2025 #15 OKW BOBAN SUNZU said: Active huyu si kafungiwa? Click to expand... Kafungiwa na nani? Na kwa nini?
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,385 Reaction score 3,057 Feb 3, 2025 #16 Scars said: Utamuonaje na wakati tangu achezeshe Derby ameanza kutembea akiwa amevaa baibui mtaani? Click to expand... Why?yupo anadunda tu kama kawaida.
Scars said: Utamuonaje na wakati tangu achezeshe Derby ameanza kutembea akiwa amevaa baibui mtaani? Click to expand... Why?yupo anadunda tu kama kawaida.
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,385 Reaction score 3,057 Feb 3, 2025 #17 Nifah said: Yuko wapi Tatu Malogo? Mara ya mwisho alionekana akiwa kavaa jezi ya Makolo na mechi aliyopangiwa kuichezesha akaondolewa kimyakimya. Click to expand... Weeeeh... Huyu tatu huyu huyu?
Nifah said: Yuko wapi Tatu Malogo? Mara ya mwisho alionekana akiwa kavaa jezi ya Makolo na mechi aliyopangiwa kuichezesha akaondolewa kimyakimya. Click to expand... Weeeeh... Huyu tatu huyu huyu?
Minjingu Jingu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 1,385 Reaction score 3,057 Feb 3, 2025 #18 Kalpana said: Comment za utopolo zinanivunja mbavu... Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau.. Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie Click to expand... Kabakiza macho viungo vingine kapeleka wapi?
Kalpana said: Comment za utopolo zinanivunja mbavu... Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau.. Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie Click to expand... Kabakiza macho viungo vingine kapeleka wapi?
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,025 Reaction score 25,432 Feb 3, 2025 #19 OKW BOBAN SUNZU said: Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi? Click to expand... Atakuwa kapewa cheo Jangwani kama zawadi kwa kuitumia Yanga kwenye pitch kwa muda mrefu.
OKW BOBAN SUNZU said: Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi? Click to expand... Atakuwa kapewa cheo Jangwani kama zawadi kwa kuitumia Yanga kwenye pitch kwa muda mrefu.
A al Majiid JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 857 Reaction score 1,804 Feb 3, 2025 #20 si inasemwa huyu kayoko ni Afande ila sijui wa jeshi gani nchini..atakuwa kozi huyu