Yupo wapi Profesa Kabudi

Good
 
Dau la Mnyonge haliendi Joshi, inasikitisha sana Wazalendo kudhihakiwa wakati walilitumikia Taifa kwa Uadilifu.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hivi unajua maana ya uadilifu wewe? Prof Kabudi alimuunga mkono mhalifu jiwe bila woga. Alikuwa mpiga debe mkubwa wa ukandamizaji haki, uuaji na uporaji fedha za wafanyabiashara. Ni mzalendo huyu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…