Yupo wapi Profesa Kabudi

Profesa aliondolewa cheo na Rais mwenye Masters ya open universiry.Katiba ya Tanzania inafurahisha sana.
Open university ni chuo cha serikali kimenzishwa kwa sheria ya bunge ya mwaka 1992 na kimeanza operation mwaka 1993.

Kina maprofesa na madocta (phd holder) wa kutosha kutoka vyuo vikuu mbali mbali dunia kuanzia udsm hadi mamtoni

Kina machapisho ya kutosha ya tafiti mbali za kisayansi.

Bila shaka wewe ndio unafurahisha[emoji2][emoji1787][emoji1787]

Halafu ya mambo ya kutambia vyuo ni kishamba na kilimbukeni ni moja ya intellectual arrogance.

Unashangaza.
 
Jalalani alipotolewa mwanzoni
 
Akati mimi nataka ni apply pale mwaka huu .....
 
Msizozee Msizozee Sipo Jalalani kama wanavyosema kwa sasa Nipo Ikulu Nasimamia Mawaziri wote hadi Huyo Waziri Mkuu Yuko chini yangu Namsimamia
 
Mwisho wa ubaya ni fedheha. Amekimbia nchi.
 
Analima nyanya na vitunguu Ilula
 
Mshenzi kama huyo unamhitaji wa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…