MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 663
- 735
Dah heri umeuliza
kwani vipi mkuu!
Mi mwenyewe nataka nifaham huyo jamaa ni nani maana hata profesa jay kamtaja
hivi ni proffesa wa ukweli au?
hivi ni proffesa wa ukweli au?
hivi ni proffesa wa ukweli au? Hapana Mkuu
Hapana Mkuu, hiyo ni nickname yake. Huyu jamaa ni mmoja kati ya "unsung heroes" wa bongo flava. Kuna ngoma nyingi zilizo-hit alitengeneza huyu jamaa lakini watu hawamjui, baadhi yake ni Mi Mmasai wa Mr Ebbo, Mikasi wa Ngwea, Akwelina wa OCG na Juma Nature na nyingine.

Daaah! Umenenaa hapo OCG mselaa alikua kichwa kizurii katika uandishii ila kwa sasa sijui yuko wapii tenaa!
Maswali mengine bwana