Yupo wapi Prof. Abdallah Safari?

Siku hizi anaandika vitabu na ofisi yake Samora Ave inaendeshwa na mwanawe mwanasheria.
 
2015 iliwafungua macho wengi, ndio maana wengi wanaojielewa wakaamua kuondoka tu.

Tanzania hakuna mfumo wa vyama vingi. Siasa zetu ni kama Urusi na Korea kaskazini.
 
Chadema hutelekeza viongozi wao,safari wameshamsahau
Huna akili unafikiri viongozi wa Chadema kutegemea chama katika maisha yao kama ilivyo hao mazezeta wa CCM. Profesa Safari ni mtu mwenye shughuli zake nyingi tu za kumuingizia kipato wala hana njaa.
 
Huna akili unafikiri viongozi wa Chadema kutegemea chama katika maisha yao kama ilivyo hao mazezeta wa CCM. Profesa Safari ni mtu mwenye shughuli zake nyingi tu za kumuingizia kipato wala hana njaa.
Nyumbu mko vizuri kwenye matusi,Prof itakuwa kakuoa,mwenzio mjanja alivyoona manyumbu mnaibiwa ruzuku na pesa za join the chain akaona bora ajiandikie vitabu tuu,Safari aliachana na siasa za Sultan Mbowe tangu Bilionea Lowasa akinunue chama cha dema kwa muda.
 
Nimeamua kukupuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…