Yupo wapi Nargis Mohamed?

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,981
4,166
Nakumbuka filamu aliyocheza na Johari na Ray, yeye akiwa kama mke wa boss mmoja kwenye kampuni yao.

Alionekana kwenye wimbo wa zari la mentali wa Prof. J akijitambulisha kama Vicky.

Je huyu celebrity yupo wapi sasa? Kitambo haonekani kwenye sanaa.
 
Unaiongelea filamu ya YELLOW BANANA hiyo ki ukweli hii filamu ni nzuri sana, inaanzia Arusha to Dar. Huyo demu nasikia ni ofisa mahusiano wa CRDB BANK hapa Dar.
 
Unaiongelea filamu ya YELLOW BANANA hiyo ki ukweli hii filamu ni nzuri sana, inaanzia Arusha to Dar. Huyo demu nasikia ni ofisa mahusiano wa CRDB BANK hapa Dar.
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa, ni yellow banana mkuu. Hivi yule aliye-act kama mdogo wake ambaye alikuwa safari moja na ray ni nani?
 
Mkuu weka wazi basi ili kupunguza maswali.
Well, huyu Preta ni Mumbulu mtulivu sana anajua maana ya kuwa mwanamke, hatongozeki kiboyaboya. Kwani huyo demu wa kwenye filamu we ulishaiona picha yake kwenye magazeti ya shigongo? Jibu ni hapana maana hako kademu hakana kujichetuachetua!
 
Kweli mkuu, hivi Nargis naye ni mbulu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom