Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Kama una HAMU naye nenda nyumbani kwake utamkuta,huku JF tuletee mada za maendeleo na ukosoaji wa kuchagiza maendeleo ,sio hoja za kitaarab taarab!
Nani kakupa kibali cha kupangia watu cha kuandika?
 

Acha uzwazwa ww..mtoa mada ameuliza mtulia yuko wapi..jibu hilo sio porojo zako za ki ccm
 
Nadhani hii ni suluhisho zuri

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ushasema una wasiwasi na elimu yangu, we unahisi nina elimu gani? Swali dogo unatolea maelezo kama unaandika insha?
 
Hivi wabunge si wanaapishwa wakati wa mikutano ya bunge?
Haya huyo hapo msikilize
 
Mimi mwenyewe nimemuona duka la Edgars hapa johanesburg akifanya manunuzi
Siku hizi unafanya kazi za ulinzi kwenye maduka ya wasauzi? Au ni bodyguard wa mwenye namba ya rais? Hongera zako kwani hata slaa ametokea kuuza biskuti za mhindi kule Canada na sasa ni mlabata kule Sweden sijui atamkumbuka mhindi yule!
 
Ila huyu Mtulia dhambi ya usaliti aliyofanya na alivyosababisha damu za watu kumwagiga laana ile itamtafuna popote hadi kiama chake. Ajue pia kuwa usaliti ni laana ambayo itaendelea ktk family yake hadi kizazi cha 4!
 
Albadir inamtafuna.....

Yeye ndiye "aliyesababisha" kifo cha Akwilina

Bila yeye kujiuzulu na kwenda kumuunga mkono Rais, Akwilina asingekufa

Usicheze na damu ya binti mdogo Akwilina, asiye na hatia aliyeuawa na Polisi siku ile ya tarehe 16/2/2018
Halafu hakuna polisi aliyeadabishwa, Dah nchi hii ya maajabu kweli
 
Nimeipata kutoka kwa mtu wa karibunaye: Mtulia anaalisha kwenye mitobo yote iliyopo mwilini mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…