Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Kwahiyo wasiwasi na elimu yangu imeingiaje hapo? We ni mtaalam wa kupima viwango vya elimu? Hebu ondoa wasiwasi wako sasa unahisi elimu yangu ni ya kiwango gani?

Napenda kujua pia unajuaje mchangiaji mada ni bavicha. Ingependeza pia ukanambia bavicha ni nini...
 
Kwahiyo wasiwasi na elimu yangu imeingiaje hapo? We ni mtaalam wa kupima viwango vya elimu? Hebu ondoa wasiwasi wako sasa unahisi elimu yangu ni ya kiwango gani?
Kuna baadhi ya concept ni rahisi na hazihitaji elimu kubwa na kuna baadhi ni elimu kubwa inahitajika.Hoja yangu ilikua simple sana na haikuhitaji degree kuelewa nini naongelea.Sasa kitendo cha kukurupuka tu kisa HISIA zimetawala kichwa chako,napata wasiwasi sana na elimu yako.Elimu yako unaijua wewe.Rudi kwenye comment yangu then soma reply yako je kuna correlation? Kabla hujajibu kitu au kuquote comment ya mtu,jiridhishe umeelewa kabisa sio kuwa mkurupukaji.Wengine hatupendi watu wanaokurupuka hasa kuquote hoja zetu.
 
Hao ndio Bavicha bwana, Makamu Mwenyekiti wao amejiuzuru sababu ya akili zao za kushikiwa. Ati kwa mini afanye interview na Mtulia!!! Wanadhani ofisi ya Mtulia ipo JF. Watabishana humu yupo wapi mwenzao yupo field anapiga kazi
Akitoa kauli ya kujibu uzushi juu yake nitamuelewa[emoji196]
 
Mkuu, ukope ng'ombe[emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .
kama unaweza Fanya mambo.nitapanda hata gari nikanunue ng'ombe Wa laki ,5 mkoa.
nije kutoa sadaka.
 
Vipi Dada yenu kimambi hajawapa habari maana yeye si juha anajua kila kitu madai yenu mxiuuu
 
Uyo anajua ila naona amekataa kukuelewa
 
Asalaam wote humu ndani,

Jamani huyu mbunge mteule ndugu Mtulia yupo wapi? Mbona tangua atangazwe mshindi hajaonekana? Mbona hajaapishwa?

Wenye taarifa zake mje hapa tafadhali.
Ni kawaida ya Wapemba. Kuna trafgic mmoja aliikamata gari ya Mpemba yenye samaki. Wakaishikilia mpaka samaki wakaharibika. Mpemba akamwambia traffic police kwamba na yeye atachina kama wale samaki. Jamaa akajibu jeuri.
Kilichofuatia sasa hivi jamaa ni paralysis..
 
Chaaaaaaaa! Yakheeee hawa watu sio wa mchezo mchezo yakheeeeeeee
 
Umenikumbusha ilikuwa enzi ya akina Mayenu, Kimti. Sirengo na huyo unayemzungumzia alijulikana kama Masai
 
Acheni uzushi huo......

hivi mtajisikiaje siku mkimuona anaapishwa? mtakuja mfute huu uzi? ni vyema mkajikita kwenye hoja lakini sio gossips
Tutafurahi, si tutajua amepona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…