Yupo wapi mtangazaji Selemani Semunyu, mwanzilishi wa ITV dakika 45?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Habari wadau wa JF.

Niende kwenye swali hapo juu. Na kumbuka mwaka 2011 kipindi cha ITV dk 45 kikianza kurushwa hewani, mtangazaji wake wa kwanza ni Selemani Semunyu.

Huyu mtangazaji alipotea ghafla na kipindi kuanza kuendeshwa na watangazaji wengine tofauti.

Je mtangazaji huyu yupo kituo gani cha habari kwa sasa! Au kaacha kazi na kwenda kusoma?
 
Nadhani ni mwajiriwa jwtz kwa sasa, nimeshamsikia mara kadhaa ktk sherehe za kitaifa zinazojumuisha gwaride ya jeshi.
 
Kumbe kapambana hadi kufika huko, mi nilikuwa namwona mtu mzima sana. Kumbe ukikomaa unapata nafasi jeshini madam una afya njema.
Haha Noma kaka dah Mimi Leo imenibidi nigugo ndo nikakutana na huu uzi wako maana jamaa namuona anaripotia jwtz nikasema hapana bhana sijamfananishaaa daaaah...... Ila uwe na connection Mzee baba kutoboa ni shughuli bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau wa JF.

Niende kwenye swali hapo juu. Na kumbuka mwaka 2011 kipindi cha ITV dk 45 kikianza kurushwa hewani, mtangazaji wake wa kwanza ni Selemani Semunyu.

Huyu mtangazaji alipotea ghafla na kipindi kuanza kuendeshwa na watangazaji wengine tofauti.

Je mtangazaji huyu yupo kituo gani cha habari kwa sasa! Au kaacha kazi na kwenda kusoma?

Hata Margareth Cosmas Katanga hayupo tena ITV.
 
Back
Top Bottom