Bado yupo kwenye siasa ama anafanya shughuli zake binafsi?Yupo hapa Dar ni kada tiifu wa Ccm
Bado yupo kwenye siasa ama anafanya shughuli zake binafsi?
2015Tangu lini?
Naomba kujua alipo huyu kijana aliyekuwa na uwezo wa kumjibu mwenyekiti kwenye vikao bila kupepesa,kijana wa mwisho kuwa na mvuto ndani ya uvccm sasahivi yupo wapi?