mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,253
Jamani ni muda mrefu sijamsikia kiongozi wa kampeni za Mh.Mwenyekiti wa CCM wakati wa uchaguzi mkuu 2015 Bw. Bulembo.Sio kawaida Kwa bwana Bulembo kuwa kimya kiasi hiki kama vile hayupo.Hivi yuko wapi huyu bwana au kasi ya Mh.Magufuli imemshinda?