Yupo Wapi JULLY TAXI yule wa saladin

Kaka hapo ndo changamoto ilipo ..WATU wenye vipawa hawatumiwi Nimeirudia movie yake ya Saladin Leo kiukweli Content yake bado i hai mpk sasa uwezo mkubwa sana sijui kwanin tunasahau mchango wa hawa lengendary !
 
Kweli yani alijitahidi sana. Movie kama saladini ilikua na effect nzuri sana.
 
Movie zake ambazo yeye ndo kaziongoza kuna
Saladini
Mtemi
Chozi < kama sijakosea saladini pia alicheza humo kama mama alizaa mtoto akamwacha msituni

Japokua movie zake zilikua za kishamba shamba ila Jamaa alikua moto wa kuotea mbali , sio mru wa kupuuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…