Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k

Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account

View attachment 2014601
Huhaa!!!daah mwamba ni mkali sana nikiwa gheto la masela na winn forest ya zamani, hahaaa enzi za mbya benki kuu kwa sana kuchukua noti mpya mpya. Maisha matamu sana D Knob what a talent that has gone missing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…