Yupo wapi Iceman 3D

Yupo wapi Iceman 3D

Sijawah tulikuwa humu tu na pm basi nachojua alikuwa dar ,alikuwa rafiki yangu hum jf we huna marafiki humu na hamjaonana na ukimkosa humu unamuulizia
Ni kweli amefariki?
Mimi cjawah thibitisha kuwa amefariki ila nilipewa taarifa tena mda kidogo kuwa aliuwawa na majambazi k/koo na alikuwa na hela mbaya mnoo! Alionipa taarifa ni member ambaye anadai naye alienda hudhuria msiba hapo dar. Nayeye pia amerehemika mwaka jana kwa stroke. Alikuwa pia mfanyabiashara hapo k/koo.
 
May their souls rest peacefully
 
Mimi cjawah thibitisha kuwa amefariki ila nilipewa taarifa tena mda kidogo kuwa aliuwawa na majambazi k/koo na alikuwa na hela mbaya mnoo! Alionipa taarifa ni member ambaye anadai naye alienda hudhuria msiba hapo dar. Nayeye pia amerehemika mwaka jana kwa stroke. Alikuwa pia mfanyabiashara hapo k/koo.
Duh so sad hii mambo ya kutokujuana humu ni hatari sana,najiuliza mimi siku likinikuta jambo itakuwaje?

Nani atawapa taarifa sahihi hapa JF
Ok tuendelee kuwa hivihivi
 
Ndio maana kuna umuhimu wa kutushirikisha ili iwe rahisi kujua kama uko hai au umeumaliza mwendo!
 
Mimi cjawah thibitisha kuwa amefariki ila nilipewa taarifa tena mda kidogo kuwa aliuwawa na majambazi k/koo na alikuwa na hela mbaya mnoo! Alionipa taarifa ni member ambaye anadai naye alienda hudhuria msiba hapo dar. Nayeye pia amerehemika mwaka jana kwa stroke. Alikuwa pia mfanyabiashara hapo k/koo.
Mungu wangu naomba isiwe kweli jamani awe mzima wa afya tu 😭😭😭 angetuthibitishia Neybright alikuwa nae karibu zaidi
 
Mimi cjawah thibitisha kuwa amefariki ila nilipewa taarifa tena mda kidogo kuwa aliuwawa na majambazi k/koo na alikuwa na hela mbaya mnoo! Alionipa taarifa ni member ambaye anadai naye alienda hudhuria msiba hapo dar. Nayeye pia amerehemika mwaka jana kwa stroke. Alikuwa pia mfanyabiashara hapo k/koo.
Duhh!! Wapumzike kwa amani jamani!!
 
Duh so sad hii mambo ya kutokujuana humu ni hatari sana,najiuliza mimi siku likinikuta jambo itakuwaje?

Nani atawapa taarifa sahihi hapa JF
Ok tuendelee kuwa hivihivi
Hao wanaokufahamu inatosha mkuu
 
Hapana sijagoma itatakua ulitag vibaya mbona sijapata hio notification ???
And i took it personal!
Screenshot_20221126-115135.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom