K kwangu11 Member Joined Apr 5, 2012 Posts 32 Reaction score 10 Mar 11, 2015 #1 Wadau huyu jamaa alikua mtu wa ku arange ma white party kwa sana,but nowadays simsikii,mwenye kujua anijuze.
Wadau huyu jamaa alikua mtu wa ku arange ma white party kwa sana,but nowadays simsikii,mwenye kujua anijuze.
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,322 Mar 11, 2015 #2 Frank Mdoe au Frank Gonga au Machozi Boy? Kama huyo yupo sana mtafute FB.
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,862 Jul 28, 2016 #3 muulize mange kimambi
Ayanda85 JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 631 Reaction score 571 Jul 28, 2016 #4 Mh hapa kuna namna..
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,183 Jul 28, 2016 #5 .........Utawala huu si wa kujionyesha Onyesha kama ''HULIPI KODI'' yatakukuta MAMBO............
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,404 Jul 28, 2016 #6 Miss Natafuta said: muulize mange kimambi Click to expand... Pamoja na kuwa ule uhusiano ulileta baraka ya mtoto lakini ninadhani jamaa anaisoma namba kumjua mama mtoto.
Miss Natafuta said: muulize mange kimambi Click to expand... Pamoja na kuwa ule uhusiano ulileta baraka ya mtoto lakini ninadhani jamaa anaisoma namba kumjua mama mtoto.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 43,995 Reaction score 110,391 Jul 28, 2016 #7 Jamaa anajutia kujiingiza kwenye yale mahusiano na kwa vile mwanamke alimzingua na kumtishia, yawezekana ikawa moja ya sababu ilopelekea akajipoteza. CC: mange kimambi
Jamaa anajutia kujiingiza kwenye yale mahusiano na kwa vile mwanamke alimzingua na kumtishia, yawezekana ikawa moja ya sababu ilopelekea akajipoteza. CC: mange kimambi