Huyu mama anaweza kuwa First Lady wa mfano. Kama ni sahihi niliwahi kusoma andiko moja kwamba kwamba hata pale shuleni alikua very simple but smart. Nadhani anachokikosa pale magogoni ni mradi wake wa kufuga kuku.
kabisa! Kamamifum ipo ya kulta maendeleo kwa nini isiimarishwe hiyo. endapo 1st lady atataka kujihuishbasi aanzishe poject ya kukikisha hamn mtot anaekaa chini Tanzania hii ndani ya miaka5.