Yupo wapi Dr Alex Che-Mponda?

Mzee wa watu ''mwana wa kunyumba'' katulia tuli kwake huko mbezi anakula good time, vp kulikoni? Si unajua naye alirudi kundini? Hivi sasa yeye ni mwanachama safi wa ccm. Zaidi muulize chimi chemponda wa the swahili times blog atakupasha zaidi.
 
Lini alitoka kundini ? Tuna matatizo ya kutosha bila kuongezea hili balaa lingine - Dr. Alex Che-Mponda ? Mwacheni aendelee kuishi kwa raha kivulini baada ya kazi kubwa ya kuchumia tumbo- CCM kiboko.
 
Jamani na Kamara Kasupa yuko wapi siku hizi? alikuwa mmoja wa wapambanaji wa mwanzo wa kuanzisha demokrasia ya vyama vingi
 
Kweli nipo nje ya Tanzania kwa miaka 5 naomba kujua alipo KAMARA KUSUPA huyu naye alikuwa mwanamageuzi wa kwanza. Mara ya mwisho alikuwa ameandika'articles' kwenye magazeti kuhus aliyo yaona magerezani baada ya kuwekwa kifungoni kwa muda fulani.
Kama kuna anaye jua lipo naomba kujua.
 
Ni Dr. Alec sio Alex, yupo Mbezi Beach, baada ya kurejea CCM, ili kuwadhibitishia CCM kuwa ni mwenzao, ana over do kuvaa shati la CCM, almost everywhere every day!.

Ila yuko social sana, anaongea sana na kale ka slogan chake bado hajakaacha, ni dalili kuwa ame give up, ameamua kustaafu kwa amani mahali kwenye uhakika zaidi CCM, kwa hawa wastaafu wetu wa siasa ambao wanategemea good will zaidi kwenye polituical survival zao kuliko struggle.
 
R.I.P chemponda
 
Back
Top Bottom