Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,523
Reaction score
14,198
Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa.

Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu.

Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his control.


Tusichokijua umafia ni maisha ya kila siku ya mtu mwenye asili ya visiwani.
 
yupo DUBAIIIIIIIIIIIII
 
Wapo watu wakishakusoma wanakuchukulia kana kwamba unamaanisha hiki ulichoandika, hawana zile hisia kwamba hapa jukwaani sio kila kinachoandikwa kinapaswa kuwekwa moyoni kabisa.

Abdul hana chochote cha maana anachoweza kukifanya Tanzania, habari yako sawa na ule uzushi kwamba Mama Sitti Mwinyi ndiye aliyemiliki lile ghorofa linalotazamana na Mahakama ya Kisutu,.

Story zinavumishwa zinashika kasi matokeo yake vijana wa Gen Z wanakwenda kutia moto mali ya mtu fulani wakiamini uzushi wa JF.
 
Kwenye mstari wa mwisho nakataa wapo wema pia.
Hukumu abebe mhusika na si kundi lote la huko atokako
 
Kama ni yeye kweli ndiye aliyetuletea utulivu huu tulionao basi kongole sana kwake.
 
Huyu Abdul hajaanza kutajwa Leo....Yangu mwaka 2022/23 anatajwa..Lissu alimtaja Sanaa....
 
Kwa jinsi Bahari ilivyochafuka ni Busara aendelee kutoonekana..
 
FAMILIA NA UKOO WOTE WA SAMIA NDIYO UNAORATIBU MAOVU NA MAUAJI YOTE TENA HADI NA UKOO WAKE ULIOPO OMAN
 
Wewe ndiye Abdul? Mbona unajifanya kumjua sana kuliko mwenyewe anavyojijua? Hivi unadhani Abdul anaishi Mars kiasi kwamba haonekani na watu? Shehena yake ya silaha ilipitia bandari ya Dar, na watumishi wa bandari ni watanzania wenzetu. Wewe nani hadi ubishe?

Uwanja wa ndege pale watumishi wake ni watanzania wenzetu. Wewe ni nani nchi hii??

Kama hujui kitu kaa kimya.
 
Story za vijiweni hizo. Aingize shehena ya silaha kwa mamlaka gani aliyonayo?.

Mnatunga hadithi mpaka mnaishia kuonekana vichaa. Acheni ujinga huo, aina hii ya uzushi inasambaa kiasi cha watu watakaosikia kuanza kudhani kwamba kuna ukweli wowote.

Muogopeni Mungu nyinyi, mnatunga sana habari za uongo.

Wabongo acheni kutengeneza hizi conspiracy theories.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…