Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,859
Sasa mwambie ile dawa ndio imeshaanza kufanya kazi. Alifanya kosa sana kuanza kumhudumia tena
God save us
Sasa mwambie ile dawa ndio imeshaanza kufanya kazi. Alifanya kosa sana kuanza kumhudumia tena
Sure.Sasa mwambie ile dawa ndio imeshaanza kufanya kazi. Alifanya kosa sana kuanza kumhudumia tena
God save us
Mwambie anipe # ya uyo wife material ile yeye apate uhalali wakurudiana nauyo pakashume
Noma sana!If you decide to move on,, ondoka kweli kweli,,.
Mimi huwa naamini ni makosa sna kurudi nyuma au kugeuka nyuma
Hii ni sawa na kurudia kusoma kitabu ambacho ushakisoma..
Apo Mzee The story is done!!,, Life give as another opportunity every day!
Ushauri Wang asirudi nyuma wala asimuhudumie
Maana hawajafunga ndoa ,, Kama msaada awe anatoa kama just other friends!
Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaume wengine bwana.Huyo atakuwa mvulana ndio maana hata yeye haelewi anataka niniAfanye moyo wake unavyotaka maana akili imemshinda..litakalomkuta asijejuta.
Wanaume wengine bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la ushauri zingatia ukampe huyo unae muuita hamaa yako na kama ni ww mwenywe uchukueIf you decide to move on,, ondoka kweli kweli,,.
Mimi huwa naamini ni makosa sna kurudi nyuma au kugeuka nyuma
Hii ni sawa na kurudia kusoma kitabu ambacho ushakisoma..
Apo Mzee The story is done!!,, Life give as another opportunity every day!
Ushauri Wang asirudi nyuma wala asimuhudumie
Maana hawajafunga ndoa ,, Kama msaada awe anatoa kama just other friends!
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyMwambie jamaa yako kuna tofauti ndogo Sana Kati ya upendo na hisia . Afanye maamuzi ya busara ,Kama binti alisikiliza ushauri wa mama mwanzo asidhani kwamba atashindwa kumsikiliza tena wakirudiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Afanye moyo wake unavyotaka maana akili imemshinda..litakalomkuta asijejuta.
Wanaume wengine bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot tayari
Sasa unampa ushauri gani jamaa maana yeye bado anataka kuishi na mtu ambaye amemsikia akipanga na mama yake jinsi ya kumuibia na kumhujumu!?
Najaribu kuwaza ni mambo gani mengine wanamfanyia jamaa ambayo hajayaskia wala hayajui nabaki kumhurumia tuu
Nami niliwaza hivo, mwishoe aje anione nilikuwa nampotosha wakisharudisna na vitu vikikoleaUsijihangaishe na huyo jamaa, atamrudia tu huyo mpuuzi. Kenge kusikia mpaka atoke damu masikioni.
Nami niliwaza hivo, mwishoe aje anione nilikuwa nampotosha wakisharudisna na vitu vikikolea
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka wazi hapa kuna shida gani!Nilitaka kukupm ushauri mzuri wa kumpa sema umefunga pm
Umemaliza kila kitu.Njia mbili zilimshinda fisi. Achague moja kusuka au kunyoa...
Asisahau
Pema ujapo pema ukipema tena si pema.