livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 968
- Thread starter
- #21
Mkuu hiki kitu nakisema mara nyingi. Mara kadhaa nimekuwa navunja urafiki na mtu akija niomba ushauri wa kitoto namna hii mara kwa mara. Kama nina rafiki ambaye ni mjinga atawezaje kunisaidia wakati wa shida. Nimeshuhudia watu wazima kwenye ukoo wetu wakiwa na marafiki wakubwa na wanafanya mengi yakujivunia lakini sharti wawe smart vichwani mwao.
mtu na mama ake awa wezi kukosana kisa ka mtu kamoja .......akirudi tu lig inaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi vile amesomesha halafu hajazawadiwa hata mtoto inamuuma.Aangalie asije akafanya makosa,huyo mkwe wake aliesababisha mtafaruku bado yopo hai japo karudi kijijini.Halafu Kama ni mke Bora tayari ameshapata sasa analilia kitu gani anachohisi kakipoteza?atafakari kwa kina kabla ya kuchukua hatua.
Huyu mpya mi mwenyewe nimekuja kumjua majuzi na yupo very kind na jamaa ana admit kuwa ni wife material yaani. Sasa sijui anakwamajeMwambie awaache wote atulie kwanza akili yake ikue ndipo atafute mke.
#Bagwell

We kusoma hujui au makusudi.Stori yako haieleweki
Umesema jamaa kasomesha mdada
Dada kamaliza then kamuoa
Akamchukua na ma mkwe
Then ma mkwe kaleta nongwa
Jamaa kawaacha, eti sababu
Alikuwa hajamuoa kwa ndoa huyo dada
So which is which mkuu?
Anyway, kuna assumption 2 hapa ambazo zinahitaji majibu:
1. Jamaa alimuoa huyo dada. Kama alimuoa inakuwaje ilimuacha kijuujuu hivyo?
2. Jamaa hakuwa amemuoa huyo dada. Kama walikuwa hawajaoana jamaa alimchukuaje mama mkwe waje waishi naye? Na huyo ma mkwe anakubalije kuja kuishi kwa mwanaye ambaye kaolewa kishikaji tuu?
Conclusion: Both of them (jamaa yako na demu wake na ma mkwe wake) ni hamnazo na wapumbavu.
Na kuna uwezekano mkubwa hata huyo demu wa 2 anayeishi naye kwa sasa hajamuoa kwa taratibu maalumu bali kaweka ndani.
Kinachosikitisha zaidi eti bado anamhudumia huyu demu wake wa kwanza, what a nonsense
Ushauri: Mwambie jamaa yako aachane na mambo ya wanawake kwa sasa maana bado hajakua.
Unforgetable
Jamaa atulize bongo...maana nilimwambia vile anavyomhudumia wa kwanza siku akijua huyu alie nae atapoteza kote.Kitendo cha kuruhusu mawasiliano na huyo wa kwanza ni hatari maana hata mazingira hayatotia baraka zake!
(Mke ulie nae ni wife material kabisa huoni haya kosa la kumsingizia)
Vijana mnakwama wapi siku hizi?
Ukimrejelea huyo wa kwanza ambaye alishatafuna uchumi wako tangu shule ni kama unataka kukirejelea kifo.
Mpende mtoto wa watu ulie nae, mtunze, mheshimu na kuwa karibu nae kadri uwezavyo ili kama kuna makandokando kama ya mke wa mwanzo uweze kuyaondoa mapema kiume bila kuathiri ndoa yako.
Wanaume tuelewe ya kwamba changamoto zipo ili tuzitatue ila tunapochelewa kuzitatua au kuzishindwa, kinachofuata ni kuziacha/kutupilia mbali na kusahau.
Huyo kisirani ningekushauri umzalishe mtoto mmoja wa uchungu sema kibaya atakuja akuharibie ndoa yako na maisha yako. Sahau mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Namjibia hilo namba mbili, njaa ndio imemleta mama mkwe hapo kwa mchiziStori yako haieleweki
Umesema jamaa kasomesha mdada
Dada kamaliza then kamuoa
Akamchukua na ma mkwe
Then ma mkwe kaleta nongwa
Jamaa kawaacha, eti sababu
Alikuwa hajamuoa kwa ndoa huyo dada
So which is which mkuu?
Anyway, kuna assumption 2 hapa ambazo zinahitaji majibu:
1. Jamaa alimuoa huyo dada. Kama alimuoa inakuwaje ilimuacha kijuujuu hivyo?
2. Jamaa hakuwa amemuoa huyo dada. Kama walikuwa hawajaoana jamaa alimchukuaje mama mkwe waje waishi naye? Na huyo ma mkwe anakubalije kuja kuishi kwa mwanaye ambaye kaolewa kishikaji tuu?
Conclusion: Both of them (jamaa yako na demu wake na ma mkwe wake) ni hamnazo na wapumbavu.
Na kuna uwezekano mkubwa hata huyo demu wa 2 anayeishi naye kwa sasa hajamuoa kwa taratibu maalumu bali kaweka ndani.
Kinachosikitisha zaidi eti bado anamhudumia huyu demu wake wa kwanza, what a nonsense
Ushauri: Mwambie jamaa yako aachane na mambo ya wanawake kwa sasa maana bado hajakua.
Unforgetable
Hayo ndio maamuzi niliyosimama nayo kwa sasaBabaangu aliwahi kuniambia "Kumrudia mke uliyemuacha ni kukosa msimamo"
Sent using Jamii Forums mobile app