Yupo course ghafla tu Kaninunia?

Yupo course ghafla tu Kaninunia?

I hate mkesha
Tulipiga six weeks mkuu wa kambi akatuongezea wiki mbili kwa sifa zake.
Daaah kazi za majeshi ni option ya mwisho
Prestigious garment for hardened few humans.....

Si kila mtu anastahili kuyavaa kihalali. Kuyavaa kwa kweli kunamaanisha umevuka mateso, mafunzo, na vizingiti.
 
Back
Top Bottom