Yupo course ghafla tu Kaninunia?

Yupo course ghafla tu Kaninunia?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,924
Reaction score
11,305
Aisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu

Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana

Je apo nifanyeje?
 
Nani alikuambia mfunga buti ni mpenzi wa kuwa naye. Fanya namna nyingine Meku
 
Hukupaswa kuwa nje ya maadili, lkn kwakuwa umetoa mawazo yako kuwa mvumilivu atakuchekea
 
Wewe ni mwanamke umenuniwa na mwanaume au wewe ni mwanaume umenuniwa na mwanamke
 
Aisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu

Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana

Je apo nifanyeje?
Kausha
 
Screenshot_20250607-213606_Instagram Lite.jpg
 
Aisee hili limenishangaza Leo siku ya 3 mpenzi wangu aliye course ya haya mambo ya majeshi ghafla tu unfortunately hajibu message Wala hapokei simu

Rafiki yake wanawasiliana vizuri tu ila Mimi ni na hakuna nilicho mkosea Wala tulichokwazana

Je apo nifanyeje?
Kosa utalofanya ni kumtafuta. Akikutafuta mtafute akiuchuna na wewe uchune. Akiuchuna ukiendelea kumtafuta imekula kwako.

By the way, unapesa wewe?

NB: Ukiona mwanamke ameanza vimbwanga jua kuna uwezekano mkubwa keshapata bwana mwingine.
 
Zoezi la kijinga sana kwa zama hizi.
Mkesha unaondoa akili
Ni kweli ila kama ushafuatilia kozi ya SAS kuna kitu inaitwa resistance to interrogation au wale US Navy SEAL wana kitu kwenye intro yao wanaita Hell week hayo madude ni muhimu mno kwenye hiyo shughuli.
 
Back
Top Bottom