Wakwanza kabisa kumpatia fedha ni yule mzee kule mbela ambae amejiinamia "maana inaonyesha hajauona mchana kabisa".
Iila huyo mbwa na paka itabidi niwatafutie chakula halafu niwape.
Mkuu unauhakika gani kuwa huyo binadamu aliyelala ndiye mmiliki wa hao wanyama?Nampa mfugaji, huyo binadamu alielala. akawanunulie maziwa hao viumbe wengine.
Binadamu je?Dunia ya sasa,naona mbwa ndiyo anathaminiwa sana...huyo paka atapewa maziwa ili ahamke maana anaonekana kalewa mno.
Mkuu aliyeandika habari hii hana shida ya hizo fedha zako!Wa kwanza kumpa pesa ni huyu aliyeandika hii sentensi:Who is first can you give money?
Mkuu msaada wako ungeanza kuutoa wapi kati ya Binadamu,Mbwa na Nyau?sijaelewa.
.aisee nyau hapo anaonekana amepigika sana
Teh teh teh!masaa yake yanahesabika!aisee nyau hapo anaonekana amepigika sana
Ameficha uso wake, kwa sababu anaumwa sana!MziziMkavu kwani hela huwekwa kwenye kikombe!!!labda wanahitaji kimiminika fulani!!ila huyo binadamu simpi ameficha uso wake kwa nini!
Precisely mkuu!mwenye nacho ataongezewa
Teh teh teh!anatarajia mavuno makubwa!hUYO mbwa noma..ana bonge la kopo! Nimeipenda imani yake...
Duh. Jamaa anabeg yeye na familia yake. Huko mukulu anakoendaga kupitisha bakili nadhani wanatuona hivi pia. Manake hadi kupewa msaada wa net, duh
Pamoja na utajiri wake, mimi nitampa tu kwa jinsi aivyochapiaMkuu aliyeandika habari hii hana shida ya hizo fedha zako!
Who is first can you give money?
Who is first can you give money?