Yupi unamkubali zaidi??

Yupi unamkubali zaidi??

Namba 1.jason statham habari nyingine hebu katafute hizi movie..
Italian job,
The transpoter,
Crank,
The bank job,
Death race
ni sheeda
 
Namba 1.jason statham habari nyingine hebu katafute hizi movie..
Italian job,
The transpoter,
Crank,
The bank job,
Death race
ni sheeda

Italian job amecheza vizuri aisee
 
5 na 9 my all time action film stars......
 
Huyo jamaa namba 4 kupitia filamu zake akanijengea mazingira ya kupenda kuoga utotoni...maana kwa jirani tv huangalii bila ya kuoga na mpaka mguu unasuguliwa....
 
Back
Top Bottom