LaccazetteKufuatia Dunia ya soka kukumbwa na uhaba wa Washambuliaji mahiri katika soka, Kuna mastraika wachache sana ambao wanaendelea na ubora wao wa kutupia nyavuni.
Je kwasasa unamkubali straika yupi?
NakaziaaaLaccazette
King Messi anacheza takriban position zote exept defence...ni mchezaji wa ajabu kuwahi kutokea ulimwenguniKing messi