Yupi ni mchezaji bora kwako katika msimu huu wa ligi Tanzania?

Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
10,352
9,810
Habari wakuu, napenda kupata maoni ya ni nani ni mchezaji bora wa ligi ya Vodacom Premium League,kutoka katika timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hii hapa Tanzania.Naomba unitajie mchezaji mmoja tu.Kwangu mimi naona Kichuya ni mchezaji bora zaidi mwaka huu.
 
KWANGU MIMI NAMUONA ERASTO NYONI. JAMAA ANAJUA KWA KWELI INGAWA UMRI UMESOGEA LAKINI KAUPIGA MWINGI SANA LIGI HII.
 
Back
Top Bottom