Eti wakuu yupi ni kiumbe hatari ukikutana naye huwezi pona kati ya hawa na yupi unaweza Pona?
Na kwa mbinu zipi?
Kati ya nyoka KOBOKO na mnyama SIMBA
Kwangu Mimi naona Bora nikutane na koboko kwa sababu ni nyoka hivyo ni 50-50 Mimi na yeye mmoja anaweza Toka mshindi kwa sababu nitaweza kumtyme nikamuumiza ila simba sitamuweza wakuu kwanza naanzia wap?