Yupi mkweli kati ya hawa marais?

Yupi mkweli kati ya hawa marais?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
10311842_852240551500686_2809358630658997048_n.jpg
 
Picha inaleta ubaguzi, imewabagua kutokana na dini zao kwa nini Wagalatia ndo wamevaa KiCCM AFU bila viatu ilhali Hao wa Dini ya Haki wamevaa suti?
 
Nami nimeliona hilo. Wale wa dini ya kuvaa mabomu mwilini na ambayo kula ubwabwa ni mojawapo ya ibada, wamevaa suti nyeusi. Mchoraji amejitahidi sana kutumia rangi ambazo zina tafsiri fulani ya kiroho kwa hiyo dini unayosema ya wagalatia.
 
Tutaliangamiza taifa kwa midomo yetu wenyewe, yanayotokea Nigeria yalianza kama hivi, tunapandikiza mbegu mbaya sana ya chuki za kidini, sijui tutamlaumu nani

Vita vya kidini havina mshindi bali itakuwa na kuuana kuuana na kuharibu, huku waathirika wakubwa wakiwa ni maskini, watoto, wazee na akina mama, ambao wote hao ni ndugu, rafiki na jamaa zetu

Tunapopost habari zihusuzo dini na imani hasa ukristo na uislam tutafakari kwa makini yale tunayoyaandika, tusije tukawa kwa kila andishi tukawa tunajiandalia kiama kwa wana na wana wa wana wetu
 
Picha inaleta ubaguzi, imewabagua kutokana na dini zao kwa nini Wagalatia ndo wamevaa KiCCM AFU bila viatu ilhali Hao wa Dini ya Haki wamevaa suti?
muulize mchoraji mjomba
 
Nami nimeliona hilo. Wale wa dini ya kuvaa mabomu mwilini na ambayo kula ubwabwa ni mojawapo ya ibada, wamevaa suti nyeusi. Mchoraji amejitahidi sana kutumia rangi ambazo zina tafsiri fulani ya kiroho kwa hiyo dini unayosema ya wagalatia.
lol, wajameni ndio uchambuzi huu? haya viona mbali
 
havache sana kikore
Tutaliangamiza taifa kwa midomo yetu wenyewe, yanayotokea Nigeria yalianza kama hivi, tunapandikiza mbegu mbaya sana ya chuki za kidini, sijui tutamlaumu nani

Vita vya kidini havina mshindi bali itakuwa na kuuana kuuana na kuharibu, huku waathirika wakubwa wakiwa ni maskini, watoto, wazee na akina mama, ambao wote hao ni ndugu, rafiki na jamaa zetu

Tunapopost habari zihusuzo dini na imani hasa ukristo na uislam tutafakari kwa makini yale tunayoyaandika, tusije Yukawa kwa kila andishi tukawa tunajiandalia kiama kwa wana na wana wa wana wetu
 
bora mzee mkapa atajitetea na barabara alizojenga naa mojawapo wa majembe yake mpaka leo anazidi kuwika Dr. Pombe
 
huyu mchora kibonzo picha ya nyerere kavaa kannzu ya kijani aliiona wapi kama si mfashisiti huyu?
 
Picha inaleta ubaguzi, imewabagua kutokana na dini zao kwa nini Wagalatia ndo wamevaa KiCCM AFU bila viatu ilhali Hao wa Dini ya Haki wamevaa suti?

watu wanaojua mara nyingi huwa hawana makuu, mchoraji amefanya kuwanyenyekeza kimavazi.
 
Sasa hata kuiba si ni kutafuta.
Asilimia kubwa ya waBongo wangepata nafasi ya kuiba, mbona wangepiga tuu kama kawa.
Fursa ndio hazijawatembelea.
 
hizo akili zako ni za kimaskini, za kijinga...!!! umeacha kujibu hoja unaleta upuuzi..
 
dadavua mjomba au ndio uko bize na toroli
wameshindwa kumuelewa aliposema maisha bora. kwa kweli ana misemo ambayo kuitafsiri nu tabu. kama huu AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.
 
Back
Top Bottom