Yupi kati ya hawa wanawake 3 ni mama wa mapacha wanawake wawili?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
yupi mama.jpg
 
Nimeona hii habari CNN. Mama ni wakushoto. Mapacha huvaa nguo zinazofanana na Mama unaweza mtambua kwa kuangalia shingo ila wote wameiva. Black don't crack
 
Tuache nani mama na nani watoto. Kama mpunga unaruhusu , nachukua wote. Mungu kaumba
 
Back
Top Bottom