Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania katika uchaguzi wa 2015

  • Total voters
    15
  • Poll closed .
Wote ni vimeo....hawafai hata kwa kulumangia.

uwe wewe unayefaa kwa kulumangwa!!!kambi yako ni ipi wewe maana siasa ya bongo sikuhizi inaenda kwa kambi,zitto alitaka kuleta hizo ambazo sizo ndani ya CHADEMA tunaelekea kumweka kando!siasa za kambi atutaki ndani ya CHADEMA;DR. NI JEMBE LA UKWELI 2015.
 
Dr Wilbroad Piter Slaa

Huyu ana mtoto mchanga tumuache junior afikishe umri wa kwenda shule angalau.... Hapo ngoma kama ulivyopanga number moja anahusika.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Huyu ana mtoto mchanga tumuache junior afikishe umri wa kwenda shule angalau.... Hapo ngoma kama ulivyopanga number moja anahusika.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
So huyu aliezalia ikulu nae ilifaa tumpumzishe?
 
Back
Top Bottom