Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania katika uchaguzi wa 2015

  • Total voters
    15
  • Poll closed .
Mpaka leo niko njia panda kwani sijajua kabisa ni nani atakayekuwa mkuu wa nchi hii.ndugu watanzania wenzangu wengi wetu tumekuwa tukizania tu ila jibu kamili bado.......au wewe unafikili ni nani atakae faa kuwa president?watanzania tuache ushabiki wa vyama,tuache makundi ndani ya vyama vyetu hakika tutaweza pata raisi anayetufaa na hajawahi kuwa na kashifa yoyote ndani na nje ya nchi na mchapa kazi na anayeweza kusimamia utawala wa sheria.
 
Anafaa kuwa raisi atangazwa muda ukifika lakini atatoka nje ya ccm.
 
Mpaka leo niko njia panda kwani sijajua kabisa ni nani atakayekuwa mkuu wa nchi hii.ndugu watanzania wenzangu wengi wetu tumekuwa tukizania tu ila jibu kamili bado.......au wewe unafikili ni nani atakae faa kuwa president?watanzania tuache ushabiki wa vyama,tuache makundi ndani ya vyama vyetu hakika tutaweza pata raisi anayetufaa na hajawahi kuwa na kashifa yoyote ndani na nje ya nchi na mchapa kazi na anayeweza kusimamia utawala wa sheria.

Raisi aliebakia ndani ya ccm ni lowasa pekee,mimi si mwanachama wa ccm ila huyu mzee namkubali sana kwani anasifa moja tu ya uongozi ambayo wengi hawana,SIFA YA UWAJIBIKAJI...

Hakuna mwanasiasa msafi ndani ya mfumoo huu wa serikali hii ya kizazi cha panya...

Ukawa tutakamata nchi baada ya kumalizika awamu ya lowasa.
 
Back
Top Bottom