nlikua na imagine tutakakofikia kwenye fashion.kumbe watu washafka ad uku...duuuhhiiii ndo fashoooooniiii bwana,,,, mmmh kwel hatar
View attachment 610798
Kabisa yaanchezea fashoooni ww,,
Kwani kwa viboga kuna aibu gani kutoka na hicho kivazi?Fashion za kipuuzi hizi msiiiiiiiiew..... Utakuta litoto la kiume limejitundika huu upuuzi jinga kabisaa