Yupi bwana harusi hapa?

Bwana harusi naye hachungi mzigo wake kisa kukenulia camera!!!!!
 
Oyoooo jamaa hajashitukia mchezo kwanini asirushe ngumi
 
Naboreka na hii tabia. Unaona mwenzako kaweka bandiko lake naww unalikopi unaliweka upya huo ni ujinga.

Huon kuwa picha hyo imetolewa tangu asubuhi hapa naww kwakuwa huwez kuweka picha yako umeamua kuikopi hyohyo.
 
wagirik ndo mlivyo
 
Hiyo ndoa msukosuko utaanza mara tu picha hii itakapomfikia muhusika.
 
daaa! na eneo la tukio linaitikia KIGUMU KYAMA! kama kuna ishara ya upinde vile........... miss chaga una macho makali tusaidie
 
Halafu inaonekana ni mtu na kaka yake...shemejiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…