Yupi ATATIMIZADHIDI YA MWENZAKE??

Yupi ATATIMIZADHIDI YA MWENZAKE??

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,512
Reaction score
482
Mwanamke akipewa dau la kumwua MME wake kwa kukata kichwa na kukipeleka kinapotakiwa ili apewe Milioni zake 25 AU Mwanaume akipewa dau la kumwua MKE wake kwa kukata kichwa na kukipeleka kinapotakiwa ili apewe Milioni zake 25. NI YUPI ATATIMIZA DHIDI YA MWENZAKE???
Je NI MWANAUME DHIDI YA MKEWE AU NI MWANAMKE DHIDI YA MMEWE? NA KWA NINI AWE??? (TOA SABABU ZAKO).

TAHADHARI:
Usijibu kwamba inategemeana na mapenzi yao na muda au watoto walionao.
AHSANTE KWA KUELEWA-NAWASILISHA.
 
Imeandikwa ''Mkimbie shetani naye atakukimbia ..Resist the devil and shall flee from you''
 
Mwanamke akipewa dau la kumwua MME wake kwa kukata kichwa na kukipeleka kinapotakiwa ili apewe Milioni zake 25 AU Mwanaume akipewa dau la kumwua MKE wake kwa kukata kichwa na kukipeleka kinapotakiwa ili apewe Milioni zake 25. NI YUPI ATATIMIZA DHIDI YA MWENZAKE???
Je NI MWANAUME DHIDI YA MKEWE AU NI MWANAMKE DHIDI YA MMEWE? NA KWA NINI AWE??? (TOA SABABU ZAKO).

TAHADHARI:
Usijibu kwamba inategemeana na mapenzi yao na muda au watoto walionao.
AHSANTE KWA KUELEWA-NAWASILISHA.

Hauko sawa wewe, mkimbie shetani
 
Aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea
 
"Kwenye nuru hii , kuna walio gizani." - Socrates
 
Back
Top Bottom