Yupi anaongoza kwa kubadilika badilika?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,829
Kati ya mwanmkae na kinyonga ni yupi anae ongoza kwa kubadilika badilika?
IMG_20170318_224520_715.jpg
 
Nyusi Zilivyochongwa Kama Anapaa Naona Walikuwa Wanashughulikia Kichwa Kwanza Muda Ukaisha Maana Si Kwa Rangi Ya Mkono Aisee.
 
Kuna watu wanadhambi sana, kumfanya hivyo mwenzao ndio nini sasa... Halafu wanamlazimisha akenue
 
Back
Top Bottom