Yupi anafaa kuwa wifi yangu?

Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

muulize kaka yako. atakupa jibu sahihi kuliko mtu yeyote hapa.
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

Asihangaike, kuoa sio lazima ni wito.
 
sasa kwani we ndo muoaji?
mwenyewe anamtaka yupi kwani,
akishasema ndo utapata jibu yupi wifi yako..kama anafaa au hafai we haikuhusu mana
sio wewe utakayeishi nae.
kaka yako mwenyewe hajatuliia
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

Jamani, Kaka yako mwenyewe hajatulia. Na ukitaka mke kama unataka uwe na amani kwenye ndoa kaka yako aangalie wife material, cna mana awe perfect lakini awe anaelekea kua anaweza tunza ndoa yake.
 
Wote kuanzia mwanaume na wanawake zake bado wanahitaji muda kabla ya kuingia ndoani
 
anaefaa kuwa wifi yako ni yule ambaye Mungu amemuandalia kaka yako.

I dont believe ni rahisi kiasi hicho. Mungu aliumba wanadamu wooote wake, akatuma message via message centre za watume kua mkazaliane; As long as mmoja mwanaume na the other mwanamke ambao wanaweza oana. Hivyo huo uamuzi amemuachia mwanadamu yeye mwenyewe ili amshirikishe yeye Mungu kua uchaguzi anaofanya ni sahihi na hataujutia.
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

we tayari ushaolewa? Mi nafaa kuwa mumeo
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

sidhani kama kuna umuhimu wa kuendelea na zoezi,
la ndoa kama hatua hii muhimu ya angalau kufahamiana, haijafikiwa!!!!
Pole sana!!!!!
 
je is there any perfect person existing under the sun? Kila mtu ana tabia zake mbaya, tukisema aendelee na kurukaruka ataukwaa mdudu na pia kuna uwezekano mkubwa akapata msichana wa hovyo kuliko hawa.

kama ni mdudu anaweza kumkwaa hata kwa huyo aliye na bwana wa pemben,hapo kuna chain tayari,
 
mdogo wako ni msafi kiasi gani???????????

Kabla hatujajua mdogo wake ni msafi kiasi gani tumuulize Nasjaz mamlaka ya kumtafutia mdogo wake mke amepewa na nani? Je anajua mdogo wake anahitaji mke mwenye sifa na tabia gani?
 
Back
Top Bottom