Yupi anafaa kuwa wifi yangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yupi anafaa kuwa wifi yangu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Apr 22, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wote wawili ni vimeo, atafute wasichana wengine.
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  je is there any perfect person existing under the sun? Kila mtu ana tabia zake mbaya, tukisema aendelee na kurukaruka ataukwaa mdudu na pia kuna uwezekano mkubwa akapata msichana wa hovyo kuliko hawa.
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ambaye mdogo wako anampenda na atakayemuoa, period.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mdogo wako ni msafi kiasi gani???????????
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Naye hana usafi wowote. Angekuwa msafi asingekuwa na vibinti viwili.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  we nazjaz nawe, sa kama unajua hakuna mkamilifu chini ya jua kwa nini umeleta hii sred?? Unataka tukushauri nini wakati majibu tayari unayo mwenyewe?? Na huyo wifi yako mwenye bwana pembeni mpaka wewe unajua na hujachukua hatua tukueleweje?? Unaifurahia hiyo hali jamani?? Mwambie mdogo wako atulie, atapata mke mwema! Na yeye aache kujifanya kidume saaaana. AIDS z around au halijui hilo??
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  sasa basi atakaemchagua yeye ndie anafaaa
   
 9. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ninachokiona hapa nasjaz anamuonea wivu bro wake. Sijui anataka aoelewe yeye.
   
 10. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  ulevi noooma, mwambie achukue huyo mwingine mboka kaka yako nae ana wawili ?
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Amuoe mwenye bwana sababu wote wanacheza game moja wakioana wataacha
   
 12. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  labda kaka yako ndo yuko pembeni kwa taarifa yako.
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  asioe kabisa hadi atakapotulia
   
 14. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  amuoe huyo mwenye bwana,kwani na yeye anawawili ili wote wawe wanakuwa na away games, akimuoa mlevi atakuwa amempunja. haki kwa wote
   
 15. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hana utulivu, kama ameenda kukwapua mlevi kupindukia?
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wanataka mpango wa kando eti paree paree.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kabisaaaaaa
   
 18. CPU

  CPU JF Gold Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Post zingine unajitukana mwenyewe tu.
  Wachafu wote.
  Kuanzia mdogo mtu, vicheche vyake na dada mwenyewe
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Points!!!!!

  ...Nice One, straight to the "bull's eye!"
   
 20. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  ukiwa kicheche kwa hiari yako na wala sio sex slave mbona poa tu!!!
   
Loading...