Yupi alikuwa hatari zaidi

Yupi alikuwa hatari zaidi

Dah huyo jirani yetu alijivika vyeo vyote vya dunia hii, yaani combat imekuwa kama bustani ya maua!
 
HITLER Halafu SADDAM Kwa watu wake alikuwa kiboko!
 
niliwahi kwenda library nikakuta kitabu kinaitwa Utenzi wa vita vya kagera nikakisoma nilicheka sana huyu jamaa alikuwa chizi sana vyeo vyote viko kwenye kombati yake kuanzia private mpaka air marshal
 
Hitler alikuwa hatari zaidi.Hao wengine walikuwa inspired na Hitler
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom