Yumkini Kuna Ukweli?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,154
13,223
IMG_2271.JPG
Unadhani anaunganisha na maneno ya Pinda?
 
Km hile pikipiki iliyobeba wale jamaa wawili mmoja akiwa na bastola waliokamatwa jana????
 
jamani hebu nijuzeni mwenzenu manake nahisi kama vile kamnyama kangu kamekata kona vile!!!
 
MICHUZI
nipe link bana manake kamnyama kamegoma kabisaaa yaani hata kuburutika kanashindikana

[h=3]NEWS ALERT: POLISI JIJINI DAR WAKAMATA WATU WAWILI WAKIWA NA BASTOLA KATIKA PIKIPIKI[/h]


Askari kanzu (kulia) akiwa ameshika bastola aliyokutwa nayo mtu mmoja aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki aina ya Boxer yenye namba za usaji T 961 CJW katika mtaa wa Makunganya jirani kabisa na benki ya Posta jijini Dar es Salaam mchana huu. Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya ujambazi wa kutumia pikipiki Polisi wameimarisha ulinzi na hasa katika maeneo ya mabenki.Asklari kanzu akiwa na bastola alikamatwa nayo mtu mmoja aliyekuwa amepakiwa katika pikipiki aina ya Boxer.Watu waliokamatwa wakijaribu kuwasiliana na ndugu zao.Neno kwenye Pikipiki waliyokuwa wakitumia hao.Ofisa wa Polisi akijaribu bastola waliyokutwa nayo watu wawiliwaliokuwa katika Pikipiki Posta Mpya jirani na Benki ya Posta leo.Heee ina risasi!Mtu aliyekutwa na bastola hiyo, ambaye alijitambulisha kama mfanyabiashara.Polisi wakifanya mawasiliano na wenzao wa doria kuomba msaada wa gari.Mtuhumiwa aliyekutwa na bastola akihojiwa na kuchukuliwa maelezo.Dereva wa Pikipiki naye akichukuliwa maelezo yake.Unaitwa nani, unaishi wapi, unafanya kazi gani, kabili gani, Ofisa wa Polisi akimuhoji mtuhumiwa.
 
mweeeh! wewe Ggggggggg ahaaaaa! nilisahau bana nilitaka kukuita jina lako la kiyahudi ......
mbona huyu mfanyabiashara meno yamekaa kama aliwah kukumbwa na dhoruba akavunjwa jino??
 
mweeeh! wewe Ggggggggg ahaaaaa! nilisahau bana nilitaka kukuita jina lako la kiyahudi ......
mbona huyu mfanyabiashara meno yamekaa kama aliwah kukumbwa na dhoruba akavunjwa jino??
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee............kwani una kucha nzurinzuri? litaje uone...........hata mm nashangaa na tabasamu lake la ndoa, lakn hii ni sifa ya majambawazi pia,na huenda wana uhakika wa kuchomoa
 
kinachonishangaza eti watu tu kwenye pikipiki ujue wana bastola? watakua wamelengeshwa...........
 
Back
Top Bottom