MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 466
- 101
Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda.
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .