ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Mwaka huu kashine kinions wake kelele kbao,juzi juzi tu misimu iliopita mlitia huruma.Hakika waweza sema hii ni zawadi kwa dunia tokea mbinguni.... Kwa kizazi kilichopo... Jamaaa ni kiumbe adimu kuwahi tokea kwa jinsi anavyoutawala na kuuchezea mpira pamoja na miili ya watu wanaotaka kumpoka mpira alionao mguuni... Huyu mtu huwa akili yake inazunguka kwa speed ya ajabu awapo kwenye carpet
Role yake katika game ya Jana Kati yao na Manchester United ni kigezo kingine tosha cha kumueeka Lionel Messi Juu Jun... Angani
Nani Kama Messi? Tuache ushabiki ni Nani anayeweza fanya actions za kupendeza kuvutia na kusisimua zaidi yake? Huenda ndiye anayeongoza kwa assist duniani kwa sasa lakini pia ndiye mfungaji mwenye magoli mengi zaidi ya yeyote ile ulaya kwa sasa!!
View attachment 1073803View attachment 1073804View attachment 1073805
Sent using Jamii Forums mobile app
Humble!!!!!Visaca el Barca... Messi para compañero soy emano soy amigo contigo el finale para UEFA.
La pulga.
Exhibition football.. I enjoyed!

Pogba anatamani angekuwepo degeaHakika waweza sema hii ni zawadi kwa dunia tokea mbinguni.... Kwa kizazi kilichopo... Jamaaa ni kiumbe adimu kuwahi tokea kwa jinsi anavyoutawala na kuuchezea mpira pamoja na miili ya watu wanaotaka kumpoka mpira alionao mguuni... Huyu mtu huwa akili yake inazunguka kwa speed ya ajabu awapo kwenye carpet
Role yake katika game ya Jana Kati yao na Manchester United ni kigezo kingine tosha cha kumueeka Lionel Messi Juu Jun... Angani
Nani Kama Messi? Tuache ushabiki ni Nani anayeweza fanya actions za kupendeza kuvutia na kusisimua zaidi yake? Huenda ndiye anayeongoza kwa assist duniani kwa sasa lakini pia ndiye mfungaji mwenye magoli mengi zaidi ya yeyote ile ulaya kwa sasa!!
View attachment 1073803View attachment 1073804View attachment 1073805
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko kutia kambani Kwa Jana kumempeleka wapi?Cr 7 the best one and only
Hilo kombe analotafuta Messi. Cr7 kabeba Mara 3 mfululizo,mwambie Messi Kama ataweza
Bila kusahau Jana Kama kawaida katia kambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa! poleni sana Manu,ndio mpira.
Messi na Ronaldo wamefanya La liga ionekane ni ligi nyepesi sana japo sio ligi nyepesi.Messi huwa anafanya mpira uonekane ni rahisi sana
Cr 7 the best one and only
Hilo kombe analotafuta Messi. Cr7 kabeba Mara 3 mfululizo,mwambie Messi Kama ataweza
Bila kusahau Jana Kama kawaida katia kambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayejua mpira hawezi kusema hivyo, Ronaldo ni Goal scorer wakati Messi ni Goal scorer + createrCr 7 the best one and only
Hilo kombe analotafuta Messi. Cr7 kabeba Mara 3 mfululizo,mwambie Messi Kama ataweza
Bila kusahau Jana Kama kawaida katia kambani
Sent using Jamii Forums mobile app