Yule Mzee wa saa ya ukombozi ni sasa yu wapi wanaJF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yule Mzee wa saa ya ukombozi ni sasa yu wapi wanaJF?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Olomi Maimu, May 4, 2012.

 1. O

  Olomi Maimu Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilitegemea kuwa ktk kipindi hiki joto lipo juu huyu jamaa angejiunga kuchangia hoja, kwani sasa ana watu wengi walioelewa hili somo la ''UKOMBOZI'' kuliko ilivyokuwa huko nyuma? Au ndo tuseme huu music wa hakunaga hajui kuucheza?
   
 2. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  amechukua rushwa kwa greener mukombo mke wa askofu mukombo yupo kunywa supu!!!!!
   
 3. b

  busara ya mzee Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado anakula fungu lake, we..subiri aishiwe mapovu humtoka anapotamka neno UKOMBOZI.....nini unashangaa:A S-confused1:
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Yeye siku hizi anaitwa mzee wa kutingisha. Fungu likiisha anatingisha tena, yaani anakwenda kimjini mjini.
   
 5. C

  Cozcoz Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :majani7:Kazi ipo
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Alishanunuliwa na mafisadi!
   
 7. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,446
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  kamtafute mahakamani utampata,
   
 8. K

  Kaseisi Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mweka hazina wa chama chake kwa miaka zaidi ya kumi, ambaye ni mkewe ameanza kuleta za YUDA, sasa hivi anatafuta king'amuzi cha ndoa kuokoa hiyo ruzuku
   
Loading...