Yule Mtoto amekuwa Mtu Mzima sasa

Yule Mtoto amekuwa Mtu Mzima sasa

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Hili ni tangazo maarufu ambalo lilikuwa linapatikana katika hospitali zetu nchini, likisisitiza ukimya maeneo ya hospitali.

Yule mtoto sasa amekuwa mdada mtu mzima kabisa.
Adjustments.JPG
 
Hili ni tangazo maarufu ambalo lilikuwa linapatikana katika hospitali zetu nchini, likisisitiza ukimya maeneo ya hospitali.

Yule mtoto sasa amekuwa mdada mtu mzima kabisa.
View attachment 1506379
ivi hii picha mpaka leo kwenye hospitali ipo
imenikumbusha mbali yaani lolo back in the days nikiwa mdogo naenda hosp na maza mda wa kuingia kuchoma sindano mlangoni unaikuta hii
 
Mabaharia kazi tunayo,huku mtaani vitoto vinakua mno halafu havitaki kusalimia vinahisi tumelingana navyo.Duuh huyu mdada kawa bomba.

Miaka 3O ipo wakuu,ukikutwa una uhusiano na mwanafunzi na under-18
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom